Search

139 results for Raisa Said :

  1. Kliniki afya ya uzazi muhimu hata kwa wanaume

    Tanga. Wanaume wenye wenza wanaonyonyesha wametakiwa kushiriki kikamilifu katika huduma za afya ya uzazi, ili waweze kupata elimu ya afya ya uzazi na umuhimu ya kunyonyesha watoto. Wito huo...

  2. Mmoja afariki katika ajali iliyohusisha gari tatu Tanga

    Ajali iliyohusisha magari mitatu jijini Tanga yaondoa maisha ya mtu, huku madereva wametakiwa kuchukua tahadhari wawapo barabarani ili kupunguza ajali barabarani na hivyo kuokoa maisha na nguvu...

  3. Ruwasa yakerwa utunzaji wa vyanzo vya maji Tanga

    Wakazi wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wametakiwa kusimamia miradi ya maji na kutunza miundombinu ya maji ili kuifanya iwe endelevu.

    New Content Item (2)
  4. Ruwasa kuongeza upatikanaji maji Tanga

    Upatikanaji wa maji vijijini mkoani Tanga unatarajiwa kufikia asilimia 68 ifikapo Desemba mwaka huu kutokana na miradi mbalimbali inayotekelezwa ili kuongeza upatikanaji wa huduma.

  5. Wasichana wapewa mbinu

    “Wakati tunaanza tulikuwa na rubani mmoja wa kike lakini sasa hivi sasa kwa muda wa miaka sita tunakwenda taratibu. Tuna marubani 10 tu wa kike na wengine wawili wako katika mafunzo, kwa hiyo...

  6. RC Tanga amkoromea mkandarasi

    Mkandarasi STC Construction, anayetekeleza mradi wa maji wa Sh35 billion kutoka Mowe hadi Horohoro, amepewa amri hadi mwishoni mwa mwezi Desemba kuhakikisha maji yanaanza kutiririka kwenye kijiji...

  7. RC Kindamba awaonya wanaohujumu miundombinu ya maji

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba ametangaza vita Kwa wale wote watakaobainika kuharibu miundombinu ya maji katika kata mbalimbali za mkoa wa huo.

  8. Ruwasa yaunganisha bodi za maji Lushoto

    Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), wilayani Lushoto, Mkoa wa Tanga, umeziunganisha bodi za maji ngazi ya jamii kutoka 32 hadi kufikia saba.

  9. Ummy: Wanawake wamechoshwa na mikopo kausha damu

    “Tumechoka kuona wanawake wakiuziwa vitanda vyao, dhahabu (mikufu) na vitu vingine kwasababu yah ii mikopo ‘kausha damu’,”amesema.

  10. RC Tanga akemea walimu wanaodhalilisha taaluma

    Pia alizungumzia kuhusu mambo ya mapenzi ya jinsia moja na ‘upinde wa mvua’, mambo ambayo hayako katika mila za Kitanzania. Amesema kuwa ni muhimu kuendelea kusimamia maadili ya kitaifa.

Page 1 of 14

Next